Rayvanny aanika hadharani anavyosumbuliwa na lishugamamy mheshimiwa mmoja wa huko Kenya

Huu ni utoto na kutojitambua .. Wanaume hatuko hivyo huwa tunapiga kimya na kuyahifadhi haya moyoni.. Mwanaume kamili LAZIMA UWE NA KIFUA
 
Hakukua na ulazima wa kufanya alichokifanya labda kama alitishiwa kukatishwa uhai
Wakati mwengine tunaposema elimu ni muhimu tunalenga mambo kama haya. Hiki alichokifanya hakina tofauti na unamtongoza demu kwenye daladala anakuropokea kwa sauti ili kukudhalilisha.

Ni swala la kishamba sana, mtu kukutongoza halafu ukamu expose. Kuna option ya ku report mtu ama kum block. Those two options work perfectly! Sijaona cha ajabu katika hizo conversations, the woman is trying to flirt around amedata.

The guy would have handled it smoothly. Ila kwa kuwa elimu ni tatizo ameona ni jambo la kutaftia kiki.
 
Kweli ugumu mbaya.
Yani vijana komenti zenu zinaonesha uchu na ugwadu++.
Nafkiri kila mtu anaishi atakavyo na Sheria zitakazo fanya kazi kwako ustake zifanye na kwa mwingine.😎
Hizo sio sheria ni upumbavu kwa mtu mwenye jina kubwa kama Rayvan ambaye anatazamwa kama kioo cha jamii kuwa illogical namna hio. Ange block tu that was more than enough!!!

Wasanii kama Chris brown ambao ni wakubwa zaidi imagine cases kama hizo wanakutanaga nazo ngapi? Ushasikia amemu expose shabiki yake in that context?
 
The guy would have handled it smoothly. Ila kwa kuwa elimu ni tatizo ameona ni jambo la kutaftia kiki
Hapo hawazi kuwekeza hata mpaka miaka 500 yeye anadunda saivi Basi Ila hela zetu hazioti miaka na miaka. Utoto na ulimbukeni kwani kutongozwa mbona Ni ishu ya kawaida atakuwa kweli anatafuta Kiki halafu anadhani Kama anamdhadhalisha kumbe naye amemtafutia Kiki ujue.
Si mapenzi tu Sasa heshima na mapenzi na heshima kwani viko tofauti amekuwa Kama demu kuwa nakuheshimu kwani Kama una heshimu mtu ndio mapenzi hayapo ama italeta repulsion
 
Daahh, kafeli pakubwa sana angeemkataa kimya kimya kama mtu mzima. Halafu mbona kama ashamkata "I missed our moment".
Kweli nimeamini upele humpata asie na kucha!
 
Kwanza kuweka kwake hizo shot ni kumuharibia huyo Bi dada kweny Hiyo timu yake ya Kampeni. Maana ameweka hadi majina ya wenzake[emoji2357][emoji2357]
 
Mshamba huyo dogo huwenda anataka kiki!!wanaume hatupo hivo kama haujamuelewa mwanamke unapiga chini na sio huo utoto aliofanya
 
Huyu jamaa kumbe bwege sana eeh? Au pust nini Huyu?
 
Huu ni utoto na kutojitambua .. Wanaume hatuko hivyo huwa tunapiga kimya na kuyahifadhi haya moyoni.. Mwanaume kamili LAZIMA UWE NA KIFUA

Sasa katika kundi la wanaume na Rayvanny unamuweka na asivo na akili atapoteza mashabiki wanawake wengi hasa kenya, muda mwingine kutosoma na kufahamu hata saikolojia inawafanya madogo kua matahira kabisa
 
Sasa katika kundi la wanaume na Rayvanny unamuweka na asivo na akili atapoteza mashabiki wanawake wengi hasa kenya, muda mwingine kutosoma na kufahamu hata saikolojia inawafanya madogo kua matahira kabisa
Hawajui Wakenya vizuri huyo dogo.
Asubirie moto kwenye mitandao ya kijamii
 
Hawajui Wakenya vizuri huyo dogo.
Asubirie moto kwenye mitandao ya kijamii

Amini kajiharibia sana utaona kama hata show kenya atapata kwanza wamechat private yeye kayaleta hadharani asivyo na akili dogo mshamba sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…