Rayvanny aanika hadharani anavyosumbuliwa na lishugamamy mheshimiwa mmoja wa huko Kenya

Kuna comment hapo juu inaonekana siyo yeye, akaunti imekuwa hacked....hii mitandao inaweza kukufanya ukaonekana boya aisee.
 
Angevunga tu

Huu nI UCHOKO uliopaliliwa sasa unamdhalilisha unapata nini wewe umekamilika nini si ungempiga block tu ukapita kushoto ukaendelea na mitikasi zingine ungepungukiwa nini wewe Choko mzee
 
Inawezekana rayvany kanusa harufu ya utapeli, kwahiyo kaamua akisanue zijulikane mbivu na mbichi,

Yawezekana wahuni wanamuwinda aingie kingi wasepe na $$$
 
Ndio maana dogo katemwa wasafi, ni influence mbaya kwa mzee wakuwachapia, Boss wake.
 
Hizi zimetengenezwa
 
Mpumbavu sana huyu jamaa,aisee afadhali WCB,wamkatae sasa as a gentleman unamega kisela,alafu unamtumia kama kitega uchumi.

Hakika kosa vyote usikose elimu alafu mama wa watu mzuri balaa kama msomali hivi..ngoja nimpigie puli kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…