Rayvanny afichua siri ya Harmonize kuondoka WCB

Acha kutukana makabila ya watu.
Kama unahukumu kabila kwa kuangalia tabia na mienendo ya mtu mmoja, basi wewe kabila lako ni mavi kabisa, hiyo ni kulingana na takataka unazoandikaga humu JF.
Shithead!!!
 
Acha kutukana makabila ya watu.
Kama unahukumu kabila kwa kuangalia tabia na mienendo ya mtu mmoja, basi wewe kabila lako ni mavi kabisa, hiyo ni kulingana na takataka unazoandikaga humu JF.
Shithead!!!
Hata mimi kanikera sana huyo jamaa.
Ni mbumbumbu pekee mwenye uwezo wa kulinganisha kabila na tabia ya mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi kanikera sana huyo jamaa.
Ni mbumbumbu pekee mwenye uwezo wa kulinganisha kabila na tabia ya mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani kuna watu wamemuaminisha kuwa kabila lake ndio kabila bora nchini.
Lakini cha kustaajabisha kuna uzi niliona "anawatukana" Waafrika.
Yawezakuwa ana tatizo la kisaikolojia.
 
Duuh mzimikiwa na gari tabata anajisifu ana hela kuliko mwenzie kweli mbongo akimiliki mademu wakali na 10mil ndio keshakuwa na hela kuliko wenzie wote
 
Nimesikia upande mmoja hujasikia upande wa Rayvanny, je ni kweli aliwalipa anaweza kuprove alilosema?
Na pia akasema aliona Harmonize amepost bango kwa show yao ila wao ndiyo walianza kwa kuponda show zake kwa maneno ya kebehi naye ndipo akatupia dongo.
Nani asiyewajua WCB kwa uswahili wa madongo..
Show ya Fiesta tu na clouds kuwakalia kimya waliwaandama kwa mabango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…