Rayvanny amshirikisha Pierre a.k.a Konki Likwid kwenye ngoma yake mpya

Dong Jin

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2018
Posts
968
Reaction score
2,034
Hiki ni kionjo cha wimbo alichopost rayvanny katika account yake ya IG ikionesha wakiwa studio na mzee wa Konki fire, likwid au pierre...
Je utakuwa hit song au kaboronga?
Toa maoni yako.....
Your browser is not able to display this video.
 
Ukiwa unawaza kufanya hiki,wenzako muda huo wanakifanya,hivyo ndivyo WCB hufanyaga.
 
Eti huo ndo ubunifu! [emoji23] [emoji23]
R.I.P Michael Jackson
One And Only Music Genious
Umetumia Vigezo gani ?

Alikuwa anaimba pop Umemwita jiniazi umebase kwenye pop tuu ungesema jiniazi wa pop music na siyo music jiniazi.

Alafu Ni Genius siyo Genious.
 
Eti huo ndo ubunifu! [emoji23] [emoji23]
R.I.P Michael Jackson
One And Only Music Genious
Hahahahaaa, wahat about Bob Marley, Lionel Richie , Yvonne chakachaka , lucky dube , Bon jov , the Scorpion, marijan rajabu , Franco etc ?
 
Mlezi wao anazungumziaje kuhusu wao kushirikiana na mtu wa hovyo hovyo?
 
Kwakiki WCB siwawezi, hadi baba kasamehewa na mtoto baada ya kutrend na Dudu la yuyu ahhhh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…