Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
Kila siku huwa nasema Vannyboy ana kipaji konki sana kwa nyimbo za kubembeleza , na hivyo kwenye hiyo angle inabidi asimamie ukucha kweli kweli, Hana mpinzan right now, Ngoma kama KELEBE inabd awe anatupa kama bonus track ...
Goma la KISS akiwa na Bahati Kenya kaua Sana , respect to director mzava mnyama.
Sema Simba wa Tandale naye katupia KAMATA video, daah wacha nikamalizie bando langu
Goma la KISS akiwa na Bahati Kenya kaua Sana , respect to director mzava mnyama.
Sema Simba wa Tandale naye katupia KAMATA video, daah wacha nikamalizie bando langu