Rayvanny aonesha uelekeo wa mapenzi yake baada ya kumalizana na Fayhma

Huyu mzungu wenyewe mbona anaonekana kama akili zake haziko sawasawa? Kwanza wa wapi huyu, Bulgaria?

Huyu rayvanny mshamba kwanZa akivaa hapendezi hata hana damu na nguo muone hapo kasimama na mzungu utadhani sio star yaani unaweza hisi kaomba picha kwa mzungu fyuuuuu zake fayhma mtoto mzuri rudi shule achana na wala lips hawa
 
Kweli mkuu, hapa anaonekana mshamba tu na suruali yake kama kabanwa na mavi. Na huyu sijui ana undugu na Saidi Fela, naona wote wana swaga za kizee.
 
Kumbe na watoto wa kitanga wanaachwa?? Niliskiaga hawaachwagi hao
 
Hahaha huyu jamaa aliimba unaibiwa kumbe yeye ndio anatombewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…