RayVanny badilika...

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Rayvanny ni moja ya wasanii wa Bongo Fleva wanaokuwa wanafanya vizuri sana kwenye kiwanda chetu cha muziki.

Nakung'ata sikio Ray muziki unaoimba sasahivi unakupoteza, umetoa nyimbo zaidi ya tano hakuna hata moja iliyo hiti hii siyo kawaida yako.

Umepotea kabisa kwenye platform mbalimbali ambazo ulikuwa unakimbiza awali.

Kipaji unacho nguvu unazo kazi kwako kukiendeleza.


 
Chui ametoa ngoma mpya inaitwa I miss you ft Zuchu kaiskilize ni kali kwa ajili yenu mashabiki oyaa oyaa.

Zile ngoma kwenye ep ya new chui hauwezi kabisa kuzielewa kolo kama wewe zina target market yake.
Ngomaa kali sana hyo aisee mjubaaa,I mic u ,zuchu kaimba ,chui pia kaimbaa
 
Unamzungumzia Rayvanny yupi
 
Chui ametoa ngoma mpya inaitwa I miss you ft Zuchu kaiskilize ni kali kwa ajili yenu mashabiki oyaa oyaa.

Zile ngoma kwenye ep ya new chui hauwezi kabisa kuzielewa kolo kama wewe zina target market yake.
Pale ka_dem ka dablyu sibii kanapoamua kuwatetea basha zake.
 
Uzi wako umevamiwa na timu panya, kazi unayo.
 
Amekusikia Hata Wapambe Wake Watamfikishia.

Acha Nikazitafute Hizo Nyimbo Ulizosema Zimebuma.
 
Kwa ujumla WCB inahaha. Hata videos zao ziko chini sana siku izi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…