Rayvanny Freestyle amuhusisha muarab figher na sarah wa harmonize

Rayvanny Freestyle amuhusisha muarab figher na sarah wa harmonize

MumbaZ

Senior Member
Joined
Jan 28, 2018
Posts
133
Reaction score
124

Rayvany msanii wa wasafi classic chini ya diamond platinumz anayetamba kwa wiimbo wa Pochi nene. Ametoa free style matata akiwatani mke wake, harmonize, sarah na muarab fighter.

It was joke and fun.
 
Kwa sababu ametumia Kibwagizo cha Ally Kiba cha "Yoooooooooooooooooo" inabidi apigwe chini tu WCB,
No way
 
Kama kuimba kwenyewe ndio huu ujingaujinga, sitamruhusu Junior aimbe Bongo Fleva .
 
Kama kuimba kwenyewe ndio huu ujingaujinga, sitamruhusu Junior aimbe Bongo Fleva .
Hivi bado mpaka leo watoto wanaitwa majina ya Junior!? Hebu nielimishe maana ya Junior ni nini?
 
Hivi bado mpaka leo watoto wanaitwa majina ya Junior!? Hebu nielimishe maana ya Junior ni nini?

Jina lake anaitwa Gaude, sio Junior. Na ukitaka kujua maana ya Junior, Google.
 
Back
Top Bottom