Mayunga234
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,725
- 1,995
Rayvanny nae kazubaa sana anashindwa kuiga kama wanavyofanya WCB wako systematic in everything
Label ya Next level Music haieleweki kabisa ni kwamba hana strategy za kueleweka
Ukingia kwenye Official Page yake ya Instagram imekaaa hovyo huwelewi ni official page ya Label au vipi kwanza admin wa hiyo page ni mzembe hayuko on time kabisa inaweza kupita siku hakuna kilichopostiwa
Rayvanny acha unyaki tafuta IT wa kueleweka awe ana run hiyo page ya NLM then hata bio iandikwe kitu huelewi nini wanachofanya
Rayvanny punguza uzembe chamngamka nenda kisasa hata kutafuta mtu wa kuendesha page unashindwa
Caption zinazoandikwa kwenye post za hiyo page hazieleweki hivi kwel umekosa mtu mjanja wa kuendesha Account ya Instagram
Rayvanny kuna mda umekaa kizamani sana yani upo upo ilimrad siku ziende
Mpiga picha tu anapiga picha chafu
Rayvanny kuvaa tu haelewek anavaaa hovyo sana hivi anashindwa kucopy kwa kina wizkid,davido na diamondplatnumz sijui rayvanny anavaaga maronya ya wapi
Msanii Mpya wa NEXTLEVELMUSIC huyu macvoice na ndo yule yule anatuvalia pullneck utazani pastor anaenda kuhubiri. Macvoice anavaa hovyo sana utazani sio msanii anavaa kama anaenda kupata kipaimara.
Next level Music badilikeni kwenye swala zima la Mavazi na ujanja pia acheni kuzubaaa zubaaaa