Rayvanny kawaumiza Sana Wasafi

Rayvanny kawaumiza Sana Wasafi

Broadcast

Member
Joined
Jun 19, 2022
Posts
76
Reaction score
285
Rommy jons amuandikia barua ya wazi diamond platnumz

1660113741501.png

"Barua ya wazi kwa mdogo wangu Nasibu Abdul ama diamond platnumz Nakumbuka ulivyoanza kutoa nyimbo na wasanii tofauti na wa nchi tofauti Soko lako hadi number zako zilikua kwa kasi sana kwenye mziki wako hadi kupelekea kua msanii bora afrika mashariki Sio sababu wewe ndio ulikua unajua kuimba peke ako hapana!! Bali ulikubali kuwekeza muda, akili hadi pesa kwenye biashara yako hadi ikafika kipindi tukawa tunashangaa kolabo zako Mara na davido mara p square mara mr flava na ndio watu waliokua wa moto kweli kweli kipindi hicho!!!

Ushauri wa wazi kwako!! Hata kama ni biashara ama kukuza vipaji vya mtaani nadhani sasa inatosha Kwanini usiwekeze nguvu, akili, pesa kwenye biashara yako ya radio na tv?? Wanasema “kikulacho kinguoni mwako” Walewale uliowafungulia njia ndio wapo nyuma yako kukukashifu,kukuponda hata kukukebehi!! Tukiangalia top charts wasanii wote ni wale waliotoka kwako ama waliopo kwako

Hii ni wazi kwamba usingekua na wasanii number za mwanzo zote huenda zingekua za kwako kwa kipindi kirefu mno Ni kweli kila anaekua ana hitaji kutoka kwenye familia na kujitaftia ugali mwenyewe na kutengeneza familia yake Sasa ni lazima kumponda ama kumkebehi mzazi wako??

Lil wayne bado yupo na kina drake na juzi waliperform pamoja kwenye tamasha la drake Usher raymond bado yupo na justin beiber na anaendelea kunufaika na matunda yake Sijajua huku kwetu ni ulimbukeni wa pesa nyingi za ghafla,tabia ama uelewa ni mdogo!!

Jaribu kuwekeza nguvu zako kwako mwenyewe tuone kwa sasa hivi huenda ungekua na album moja na chris brown sasa hivi Kuliko kuwekeza nguvu,muda kwa watu wasio na shukran!!!! Naomba kuwasilisha !!!!

1660113895355.png

From your lovely brother [emoji1665][emoji1665][emoji1665]"
 
Wamechelewa kujua, lkn dogo sasa hivi hela zake aende TCRA anunue frequency kwa ajili ya kuongeza coverage ktk mikoa mingi ili aendelee kupiga hela kupitia Wasafi Radio na TV hawa wasanii aliokuwa nao watatu wanatosha hasiongeze wengine.

Awachie wengine nao wawatafute wasanii mitaani, wawalee wawakuze na kuwapush aconcentrate na biashara zake pamoja na mziki wake basi, kwani kwenye mziki upande wa label ameshafanya makubwa na kuinua wengi na label yake ishakuwa ya mfano,aziachie label nyingine ziendelee.
 
Rayvanny anataka mshtaki Mondi kwa Samia na ishu ipo kwa Mchengelwa.

Kwenye public ana act anatoka kwa wema ila nyuma ya pazia bora Harmonize.

Nilikuwa naskiaga tu wanyakyusa sio watu sasa ndio nimeamini

THT wamekukataa
Tiptop wamekukataa
Yamoto wamekukataa
Wasafi ikakugeuza supastaa leo unaongea shombo eti Mondi alikuwa anakunyanyasa alikuwa hakupi superstar treatment...umejenga nyumba nne ukiwa Wasafi na unatembelea V8 unataka upate nini au uwe Mondi?
 
Rayvanny anatakamshtaki Mondi kwa Samia na ishu ipo kwa Mchengelwa.

Mondi anakulipa overtime?
 
Kwa hiyo wanyakyusa ni sperms kama sio watu? Wewe ni kabila gani ili tujue kama ni mtu au Zombie?
 
Rommy anajidai hajui tatizo. Tatizo Sadala alichelewa mno kutofautisha familia na biashara, pale hadi lokole alikua boss wa akina harmo,ray,zuchu,dancers wote etc. Saiv ndo wanazinduka. Maana hela nyingi zilikua zinaenda kuchezewa na akina esma badala ya watafutaji.

Huo ushauri alioutoa rommy tulishautoa hapa JF tangu enzi za mavoco tukaonekana haters na kushushuliwa balaa.
 
Machawa promax

Diamond kachagua hiyo ni biashara hakufanya Hisani Kwa hao wasanii aliona kilichomo ndani Yao ndio maana kawekeza pesa zake na alitegemea faida. Hiyo ndio changamoto ya hiyo biashara msanii akishakua mkubwa atataka ajitegemee ni swala la Muda Tu.
 
Rayvanny anataka mshtaki Mondi kwa Samia na ishu ipo kwa Mchengelwa.

Kwenye public ana act anatoka kwa wema ila nyuma ya pazia bora Harmonize.

Nilikuwa naskiaga tu wanyakyusa sio watu sasa ndio nimeamini

THT wamekukataa
Tiptop wamekukataa
Yamoto wamekukataa
Wasafi ikakugeuza supastaa leo unaongea shombo eti Mondi alikuwa anakunyanyasa alikuwa hakupi superstar treatment...umejenga nyumba nne ukiwa Wasafi na unatembelea V8 unataka upate nini au uwe Mondi?
Nyumba 4 zipi hizo za Vanny boy?? Wee chawa hapa sio FB, km ana mansions hizo, ndo ashindwe kulipa 500m kwa Wasafi? Si auze hizo nyumba 2 alipe hela awe huru.

Hebu tutolee upuuzi wako hapa, kwa Harmonize ilikua hivi hivi ooooh ana mansions mjini hapa, amewekeza, hana tabu, tuliishia kuona akifukuzwa Mbezi beach kwa Eng Msiri.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
Hivi ni anawasaidia ama wanafanya biashara??
Yeye mwenyewe angefika hapo bila kushikwa Mkono na Watangulizi wake??

Hebu atutolee ujinga sie, wanawachukua vijana wa Watu wakiwa na Dhiki na Njaa, wana wasainisha mikataba migumu, siku wakitaka kujitegemea wanalipishwa mamilioni ya Pesa halafu aseme alikua anawasaidia aache kusaidia awekeze kwake halafu hizo asilimia 60 atazipatia wapi.
 
Nyumba 4 zipi hizo za Vanny boy?? Wee chawa hapa sio FB, km ana mansions hizo, ndo ashindwe kulipa 500m kwa Wasafi? Si auze hizo nyumba 2 alipe hela awe huru.

Hebu tutolee upuuzi wako hapa, kwa Harmonize ilikua hivi hivi ooooh ana mansions mjini hapa, amewekeza, hana tabu, tuliishia kuona akifukuzwa Mbezi beach kwa Eng Msiri.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Machawa utawaweza sasa leo wanasema ana Nyumba 4, ili ionekane ni Matunda ya Boss wao,
Kesho watasema hana nyumba wala kibanda anadaiwa kila pembe, ili kumshusha thamani.
 
Rommy jons amuandikia barua ya wazi diamond platnumz

"Barua ya wazi kwa mdogo wangu Nasibu Abdul ama diamond platnumz Nakumbuka ulivyoanza kutoa nyimbo na wasanii tofauti na wa nchi tofauti Soko lako hadi number zako zilikua kwa kasi sana kwenye mziki wako hadi kupelekea kua msanii bora afrika mashariki Sio sababu wewe ndio ulikua unajua kuimba peke ako hapana!! Bali ulikubali kuwekeza muda, akili hadi pesa kwenye biashara yako hadi ikafika kipindi tukawa tunashangaa kolabo zako Mara na davido mara p square mara mr flava na ndio watu waliokua wa moto kweli kweli kipindi hicho!!!

Ushauri wa wazi kwako!! Hata kama ni biashara ama kukuza vipaji vya mtaani nadhani sasa inatosha Kwanini usiwekeze nguvu,akili,pesa kwenye biashara yako ya radio na tv?? Wanasema “kikulacho kinguoni mwako” Walewale uliowafungulia njia ndio wapo nyuma yako kukukashifu,kukuponda hata kukukebehi!! Tukiangalia top charts wasanii wote ni wale waliotoka kwako ama waliopo kwako

Hii ni wazi kwamba usingekua na wasanii number za mwanzo zote huenda zingekua za kwako kwa kipindi kirefu mno Ni kweli kila anaekua ana hitaji kutoka kwenye familia na kujitaftia ugali mwenyewe na kutengeneza familia yake Sasa ni lazima kumponda ama kumkebehi mzazi wako??

Lil wayne bado yupo na kina drake na juzi waliperform pamoja kwenye tamasha la drake Usher raymond bado yupo na justin beiber na anaendelea kunufaika na matunda yake Sijajua huku kwetu ni ulimbukeni wa pesa nyingi za ghafla,tabia ama uelewa ni mdogo!!

Jaribu kuwekeza nguvu zako kwako mwenyewe tuone kwa sasa hivi huenda ungekua na album moja na chris brown sasa hivi Kuliko kuwekeza nguvu,muda kwa watu wasio na shukran!!!! Naomba kuwasilisha !!!!

From your lovely brother [emoji1665][emoji1665][emoji1665]"
Chiiiiiiiii
 
Machawa promax

Diamond kachagua hiyo ni biashara hakufanya Hisani Kwa hao wasanii aliona kilichomo ndani Yao ndio maana kawekeza pesa zake na alitegemea faida. Hiyo ndio changamoto ya hiyo biashara msanii akishakua mkubwa atataka ajitegemee ni swala la Muda Tu.
Kabisaa,
Unampa msanii mkataba wa Miaka 10,
Baada ya Miaka 10 atakua kwenye ile ile pick au ndio atamkacha atafute damu changa wengine halafu msanii abaki na stress mwishowe awe teja,

Mtu lazima ajiongeze bhana kama yeye alivyojiongeza.
 
Rayvanny anataka mshtaki Mondi kwa Samia na ishu ipo kwa Mchengelwa.

Kwenye public ana act anatoka kwa wema ila nyuma ya pazia bora Harmonize.

Nilikuwa naskiaga tu wanyakyusa sio watu sasa ndio nimeamini

THT wamekukataa
Tiptop wamekukataa
Yamoto wamekukataa
Wasafi ikakugeuza supastaa leo unaongea shombo eti Mondi alikuwa anakunyanyasa alikuwa hakupi superstar treatment...umejenga nyumba nne ukiwa Wasafi na unatembelea V8 unataka upate nini au uwe Mondi?
Kila mtu ana malengo yake. Wewe unaweza ukaona hayo ni mafanikio but kwa mtu mwenye malengo bado sana hapo. Haki itendeke both parties. Msiwaze kimaskini.
 
Kweli Tanzania dhiki imetulemaza akili....yaani mtu anaweza kukuita umchimbie shimo la choo alafu akakulipa anachotaka yeye....kisa tu ulikuwa umekaa tu kijiweni huna ishu kwa hiyo kukuchimbisha shimo la choo na kuvuja jasho mpaka makalioni ni alikuwa anakusaidia tu......,
 
Back
Top Bottom