Rayvanny kawaumiza Sana Wasafi

Nilikuwa natafuta comment yako kwanza Mr Chawa ili angalau nipate mawazo tofauti hata kama ni ya kipuuzi.
 
baadhi ya sheria za MKATABA

anayeingia makubaliano ya mkataba lazima awe amefikia umri wa kuanzia miaka 18 na mwenye akili timamu.

pande zinazoingia makubaliano lazima wayafanye kwa hiyari yao pasipo kushawishiwa au kulazimishwa au kudanganywa kwa namna yoyote .

mimi nipo upande wa mondi na kinachoniudhi zaid hata kama una njaa unasainije mkataba ambao unajua kabsa huuwezi

wanaolalamika nawafananisha na wale wanaochukua pikipik za mkataba wakifeli mwenye chombo akachukua mali yake wanaanza oo jamaa ana roho mbaya sana
 
Hiyo ni biashara mkuu
Yaani mm nkutoe madongo kuinama
Niku brand, nkugharamikie alafu utoke
Burebure

Ova
Kiukweli Mzee wa Kino hawa vijana wanazingua. Wako resi mno. Uwekezaji mwa mwanamuziki na wanamichezo huchukua hata miaka mitatu au zaidi ndo mtu anakuwa yuko sawa. Kina Fally Ipupa wameanza miaka ya 90 huko lakini wakawa na subira hadi walipoiva kabisa ndo wakaanza kujitegemea. Heritier Watanabe alichukuliwa na Werrason akiwa mwanafunzi ikabidi asomeshwe kwanza hadi kumaliza chuo kabisa ndo kajiunga na bendi. Lakini pia kijana baada ya miaka kadhaa aliagana na Werrason vizuri kabisa na kuanza kujitegemea. Hawa wa kwetu wanataka ghafla ghafla. Miaka 10 kwa uwekezaji mkubwa sio mingi.
 
Kwani hawajapata pesa...mtu ulikuwa Huna hata 100 leo mtu kakufanya una miliki 1000 si umepiga hatua
Huyo rayvany bila kwenda huko kwq diamond angejulikana na kupata vijihela,ashukuru alipofikia

Ova
Wakati mimi napata hiyo buku huyo aliefanya nipate buku yeye kapata ngapi? Watu tunapinga ule sio msaada ni pata nipate, ndio maana leo vanny inabidi alipie makubaliano
 
Kwani mkataba si 60%40% na diamond alisema sio charity ni biashara sasa lawama za nini. Na si anatakiwa alipe 850mil sasa mbona hasira zote za nini
Tetesi dogo kakubali kulipa ila changamoto hatakiwi kupewa akaunti zote za mitandao ya kijamii
 
Dogo acha jazba za kikeโ€™
hata harmonize mlimtukana hadi na kabila lake leo rayvan anadai haki zake mmejazibika mnaanza kusema wanyakyusa sio watu

Sema we mzee unakomaa na hawa jamaa. Sijui Diamond alikukosea nini! Kuna wewe na yule dada mmoja humu. I can't imagine how is your life. I don't think it's a happy one. Sometimes I feel sorry for people like you.
 
Mmh kunya anye kuku akinya bata kaharisha. kutwa kuwasakama wasanii nje ya wachafu koge mkijibiwa mnaanza kulalamika pheeewww.

#kwaniabayayuledadammoja
Sema we mzee unakomaa na hawa jamaa. Sijui Diamond alikukosea nini! Kuna wewe na yule dada mmoja humu. I can't imagine how is your life. I don't think it's a happy one. Sometimes I feel sorry for people like you.
 
Wazi zuri mkuu
 
Kama alikuwa anawaonea wivu kwanini aliacha project zake akajikita kuwapa promotion mfano hapo kwa harmonize na Rayvanny kipindi wanatolewa diamond alikaa mwaka bila kutoa ngoma badala akawa anawapost Sana wasanii wake, akawa anasimamia shows zao na time ya nyimbo za hao madogo kupata airtime
 
Mmh kunya anye kuku akinya bata kaharisha. kutwa kuwasakama wasanii nje ya wachafu koge mkijibiwa mnaanza kulalamika pheeewww.

#kwaniabayayuledadammoja


Ngoja niwajibike kwanza ntakufuata DM jioni. Tuachane na hawa watu tuongee mambo yanayotuhusu.
 
Rayvan ni mstarabu sana mondi ni mnyonyaji mkataba upo wazi waliambizana 60% ni zake mondi na 40% sasa mtu amemaliza umeona anataka kukuzidi kimaendeleo unaanza kumchukia, tuseme tu ukweli rayvan anapambana mbona lavalava hafikii level ile jiulize na hata akitaka kutoka hawezi kutoa pesa kama ya rayvan ni chuki na wivu wa wazi, kwanza van anamzidi mondi tuzo kubwa kibao anazo na sasa hivi kaanza kuteka soko la kilatino huko ambapo mondi hajulikani kabisa huko๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ lazima mondi imuume sana
 
Rayvan aliishalipa pesa zote sema mondi inamuuma coz van ndio aliingiza pesa nyingi kuliko wote pale na sasa anajua hakuna mwingine ndio maana inamuuma, na true sasa hivi anapesa kama hujui hilo kwanza meneja wake yule mzimbabwe anapesa chafu mfatilie uone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ