Rayvanny kushika namba Moja Dunia nzima kaheshimisha muziki wa bongo fleva

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
Rayvanny ameshare furaha yake kubwa baada ya wimbo wake wa Tetema kushika namba moja trending dunia nzima, Chui ameshare hayo katika ukurasa wake wa Instagram.



Soma pia: RAYVANNY KASHUKA NA KUISHIWA MBINU KIMUZIKI
Kwasasa ngoma hiyo ipo nafasi ya nne kwenye trending videos duniani ikiwa imeshuka kwa nafasi tatu ikiwa bado ni mafanikio makubwa kwenye kiwanda cha burudani cha Afrika Mashariki.

Chanzo: EastafricaTV
 
Watakuja wale wanaopinga kila kitu na kuuliza,

''Hiyo inamsaidiaje Bibi yangu aliyepo kule Kijijini?''
 
Wimbo mzuri saana....

Ingekuwa ndiyo original angeula
 
Trending katika mtandao gani na hiyo ngoma kama unayo ungeambatanisha hapa tuifahamu, ndugu muandishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…