Rayvanny, Mbosso walalamikia uteuzi wa vipengele vya Tuzo za Muziki (TMA)

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Kutoka Kwenye Ukurasa wa Instagram Wa Msanii @rayvanny Kuhusu Tuzo Za "TMA" Baada Ya kutangaza Vipengele

"TMA Tunajivunia Kwamba Mna-Support Muziki Ila Hiki Sio Nilichokitegemea. Nimesikitishwa Sana" - Rayvanny

JE, Unadhani Rayvanny Atakuwa Ameangushwa na kitu Gani Katika Tuzo Hizi ?



Msanii Wa Bongo Fleva MbossoKutoka #WCB Ametoa Maoni Yake Kuhusu Tuzo Za Muziki Tanzania "TMA"

#Mbosso Ameoneshwa Kushangazwa Na Vipengele Vilivyotangazwa Siku Ya Jana Ambapo Amedai Baadhi Nyimbo Zake Kali Kutokuwepo Katika Vipengele Hivyo Vya TMA

"KHAN EP ilikuwa Na Kigezo Gani Cha Kutokuwepo ALBUM/ EP Bora? Halafu Mniambie Zilizokuwepo Zimetoa Hit Ngapi Labda, Maana Khan Ep Imetoa (Shetani, Yataniua, Huyu Hapa, Assalam N.k).

Angalia hapa waliotajwa kuwania Full List: Mastaa waliotajwa kuwania Tuzo za Muziki Tanzania (TMA)
 
Sasa watu walimpa Mabeyo tuzo ya mziki ni wa kuwazingatia kweli?
 
Mbosso apate Album bora? Hivi sisi tuna akili timamu kweli?

Ile sio Album ni MATUSI, hawezi kuwa mwenye akili timamu ukasema Mbosso ameonewa.
 
Mbosso apate Album bora? Hivi sisi tuna akili timamu kweli?

Ile sio Album ni MATUSI, hawezi kuwa mwenye akili timamu ukasema Mbosso ameonewa.
matusi nyimbo zipi na wapi
 
Hapo kwenye Hip Hop kama sijaelewa hivi...!

😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…