kitororondo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2018
- 597
- 704
itakuwa tayariHuyu Dogo asipobadilika mwisho wake atakuja kuwa GASHO.
Insta mkuuhuyo duluvai anafanyia wapi komedy au mimi ndo simjui waungwana
Awe mara ngapi sasa?Huyu Dogo asipobadilika mwisho wake atakuja kuwa GASHO.
Awe mara ngapi sasa?
Ukikutana nae live ndo utajua kuwa dogo ni mchele pori.Kwa Mwanamme Ku_Act kama Vile kwa Clips zake Zote kuna Uwalakini,Kama Confirmed ni GASHO Sawa maana nilivyoona nilijua anaelekea huko kumbe tayari kashakuwa.