thegreen JF-Expert Member Joined May 22, 2013 Posts 369 Reaction score 171 May 17, 2021 #181 ....bro, unamlinganisha mwanachemba na huyu mbana pua, umezingua bhana. Mlinganishe na mbana pua mwenzake hata Joslin
....bro, unamlinganisha mwanachemba na huyu mbana pua, umezingua bhana. Mlinganishe na mbana pua mwenzake hata Joslin
mtoto wa mjomba JF-Expert Member Joined Mar 31, 2020 Posts 526 Reaction score 753 May 17, 2021 #182 Rayvany mkali japo kumfananisha na ngwea umejianzia tu! Alf kinazidishaga kubana pua hki kijamaa kam wimbo wake WA I love you anaimbia puan mpk so poa pia mixing znawabeba sana,yote Kwa yote acha wapige hel t mda wao huu
Rayvany mkali japo kumfananisha na ngwea umejianzia tu! Alf kinazidishaga kubana pua hki kijamaa kam wimbo wake WA I love you anaimbia puan mpk so poa pia mixing znawabeba sana,yote Kwa yote acha wapige hel t mda wao huu
C chokodari JF-Expert Member Joined Jun 2, 2015 Posts 1,380 Reaction score 1,191 May 30, 2021 #183 Kuna jank mmoja anaitwa gifted son huyu ndio ngwea mtupu sema anajificha mno kuna wimbo kaimba na frida amani mtafute utamsikia
Kuna jank mmoja anaitwa gifted son huyu ndio ngwea mtupu sema anajificha mno kuna wimbo kaimba na frida amani mtafute utamsikia