Rayvanny ni msanii pekee TANZANIA aliyechagulia katika tuzo za STARQT AWARDS 2019 Afrika Kusini

University_Promo

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2018
Posts
749
Reaction score
661
Msanii anayetoka katika lebo ya Wasafi ,Rayvanny amachaguliwa katika tuzo za STARQT AWARDS 2019 za south africa,katika kipengele cha BEST MALE ARTIST.
Na ni msanii pekee yake kutoka Tanzania ambaye amechaguliwa katika tuzo hizo.
Tumpigie kura tuzo ije utanzaniani.
 
Hivi konde boy mwaka huu hajawa nominatad kwa tuzo yeyote huko afrikana?
 
Awards zimekuwa nyingi itabidi zije awards za (Awards Giving Entities)...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…