Kwani hawa wana ugomvi au sisi ndio tunahisi kuwa wana ugomvi?Hivi ugovi wa diamond na kiba unamuhusu nini yeye
Sikuwahi kutegemea kama we jamaa hujui chochote kuhusu Muunganiko wao.Yaani kwenye story za Chris Brown na Drake unamuweka WizKid? You're retarded!
Nipe faida ya followersking alikiba? kazidiwa kila kitu mpaka instagram followerz [HASHTAG]#diamond[/HASHTAG] ni baba yao bongo fleva wote
Sikuwahi kutegemea kama we jamaa hujui chochote kuhusu Muunganiko wao.
Labda itakuwa umarekani umekujaa ila Drake kafanya ngoma na Wizkid imepenya mpaka Grammy....Chris Brown anapiga Tour na Wizkid na karibu show zake zote za Africa huwa anataka na Wizkid aalikwe na wana ngoma ya pamoja.
Sa sijui ulitaka nitoke story za Mbwana Samatta.
Kwani akisema lazima wewe umsikie?!Tatizo lenu wabongo mnapenda story za kujiaminisha. Chris Brown kasema lini anataka tour zake Africa WizKid awepo? Au we nani kakwambia?
Basi poa, akinijibu tu nakushtua!!!akikujibu naomba nistue!
Chunga sana asije akakuinulia na mkeoDiamond ana huruma sana ameamua kumuinua kiba kwa kutumia rayvany abarikiwe sana huyu kijana!
Kwahiyo kwa upeo wako ulivyo na mapungufu ya kumwaga,unaona hilo jambo likifanyika basi kajiamulia yeye mwenyewe,bila baraka ya "bosi wake" ambae ni DIAMOND PLATNUMZ ??? Kwa taarifa yako tu nikuambie,hata haya mambo ya yeye kumtajataja Kiba keshapewa baraka na viongozi wake na pia ni sehemu ya mpango mkakati wa WCB,sasa wewe endelea kumchukulia poa DIAMOND kwa chuki zako bila kumjua huyo mtu yuko vizuri kiasi gani ktk biashara ya hili game na keshaanza kuwateka. Au unadhani ule wimbo wake huyu dogo wa natafuta kiki alimtaja kiba kibahati mbaya,na kwamba viongozi wake hawakuona au hawakujua ????Napenda sana msanii mwenye mawazo ya mbali tena yasiyo na chuki ya kuambukizwa!! Km umeliona hilo basi unaanza kukomaa kimuziki dogo. Fanya kazi dogo usikubali kupandikizwa chuki kwa maslahi ya mtu mwingine.
Ila jua kuwa rimoti kaishika DIAMOND,usidhani kuwa anayofanya RAYVANNY anajiropokea,kama ulikuwa hujui basi ujue "master mind" wa huo mchezo ni DIAMOND.Huyo dogo wasafi ye Ndo kichwa hakuna wa kunibishia na mziki wa kiba anauheshimu sana sasa dogo anataka mkali wake kiba msimtishie
How?Diamond ana huruma sana ameamua kumuinua kiba kwa kutumia rayvany abarikiwe sana huyu kijana!
Matatizo gani?Anajitafutia mabaya huyu dogo
Nahis we jamaa hujui mziki zaidi ya kupiga porojo wanaoujua muziki wanakuchora tu.king alikiba? kazidiwa kila kitu mpaka instagram followerz [HASHTAG]#diamond[/HASHTAG] ni baba yao bongo fleva wote
WCB awawezi kutafuta kiki kwa "king anayelilia tuzo" labda ungesema kuwa wanataka "kumfukia" kwa kumtumia RAYVANNY.Kama kawaida yao bila kumtaja taja King wanaona hawapati Kiki kabisa.
akacheze anapochezaga.
Mashabiki wa kiba mngekuwa vizuri kichwani,nadhani mngemuopa sana huyu dogo kuliko msanii yeyote wa WCB,ila kwa vile wote kichwani bure basi "vita" inaenda kuisha kiulaini sana.Inawezekana dogo anamhusudu sana kiba