Rayvanny toka labelled ya wasafi katoa ngoma mpya iitwayo zezeta.

Rayvanny toka labelled ya wasafi katoa ngoma mpya iitwayo zezeta.

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2016
Posts
1,193
Reaction score
828
e20b7380598372bc3fe1002338b3d514.jpg

Kijana wenu Rayvanny kutoka lebo ya wasafi amedondosha ngoma mpya iitwayo zezeta.
Kuipata na kuipakua we nenda website yao ya wasafi utapata original version kwa shilingi mia tatu tu.
Hongera @Rayvanny kwa kichupa hiki zezeta.
 
Kuna link naitumia kupakua free of charge. Karibu
 
Naamini itakua bonge la ngoma, kijana hajawahi kuni let down, anajua. Wasafi wana utaratibu mzuri sana wa kuwatoa wasanii wao, this year naona kama Diamond anapumzika kimtindo, anawatengeneza vijana.
 
Naamini itakua bonge la ngoma, kijana hajawahi kuni let down, anajua. Wasafi wana utaratibu mzuri sana wa kuwatoa wasanii wao, this year naona kama Diamond anapumzika kimtindo, anawatengeneza vijana.
Ngoma mbovu balaa
 
Hakuna kitu hapo....Ngoma mbovu haijawahi kutokea
 
Ngoma ni Kali ipewe muda wasioielewa, wataielewa taratibu tu. Ngoja ipewe Airtym ya kutosha!!
 
nilibahatika kuisikia nyimbo ya rayvany inaitwa zezeta nyimbo nzuri ila tatizo amekuja na melody za yamoto band ambao tayari style na midundo watu wameshaichoka sasa kijana wangu ray van asirudie tena kutumia melody za wale yamoto nyimbo yake imepoa sana.kama haijatoka wasafi melody na beat zinafanana na kabisa na nyimbo ya yamoto band niseme nisiseme
 
Wimbo wa hovyo kabisa, Ila video kali, director anaijua vyema kazi yake...sio kwa shots zile [emoji119]
 
Back
Top Bottom