Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
Kuna link naitumia kupakua free of charge. Karibu
Kijana wenu Rayvanny kutoka lebo ya wasafi amedondosha ngoma mpya iitwayo zezeta.
Kuipata na kuipakua we nenda website yao ya wasafi utapata original version kwa shilingi mia tatu tu.
Hongera @Rayvanny kwa kichupa hiki zezeta.
Ngoma mbovu balaaNaamini itakua bonge la ngoma, kijana hajawahi kuni let down, anajua. Wasafi wana utaratibu mzuri sana wa kuwatoa wasanii wao, this year naona kama Diamond anapumzika kimtindo, anawatengeneza vijana.
Ngoja nidownload kwanzaNgoma mbovu balaa
IWEKE HAPA SASAKuna link naitumia kupakua free of charge. Karibu
I'm burning purple flowers. It's burning my chest. I bury the most cash, and burning the restIWEKE HAPA SASA
Leo nakubaliana na weweHakuna kitu hapo....Ngoma mbovu haijawahi kutokea
Asee..hii ndiyo link?I'm burning purple flowers. It's burning my chest. I bury the most cash, and burning the rest
Acha unyonyaji shn........zKuna link naitumia kupakua free of charge. Karibu