Rayvanny vs Harmonize

Rayvanny vs Harmonize

chokodari

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Posts
1,380
Reaction score
1,191
Naona watu wanajiuliza hivi kati ya hawa wawili rayvan na harmonize nani yupo juu kimafanikio au kwamana ya utajiri?

Coz namuona mwijaku leo kwenye radio kataja wasanii wanamuziki ambao ni matajiri diamond, alikiba, harmonize na jux hivi ni kweli hawa ndio wanaongoza kwa utajiri?

Na ukimchunguza mwijaku hao ni watu wake ingawa diamond hamfagiliagi so mwasemaje coz mimi binafsi naona wa kwanza ni mondi na wapili ni rayvan ingawa hapendi showoff coz juzi kanunua ghorofa tamu kinoma ila kapiga kimyaa, harafu kuna nandy yupo vizuri sana
 
Kama kanunua ghorofa na akapiga kimya,wewe umeijuaje hiyo habari?
 
Tofauti kubwa ni kwamba kuwa chini ya label ni utumwa, hamjui tu, na huyo rayvanny one day atakuja kuongea. Unaweza kuta anaongoza mauzo lakini analinkataba la ajabu labda katika 100 ye anachukua 15 tu zingine kwa boss na label
 
Sio ghorofa Rayvanny ana kasri.

Pia anazo nyumba kama mbili zingine za kutisha.
Uwe unasoma comments kabla ya kukurupuka kama Kondoo,huyo niliyemquote kasema ghorofa,mimi sifuatilii na wala sijui hilo,

Kingine,yeye kua na hizo Nyumba,wewe inakusaidia nini kwenye maisha yako binafsi? Maana naona umekurupuka utafikiri wewe ndio mchepuko wake.
 
Picha...ziko wapi??? Nataka picha za
kadi za gari
Hati za nyumba
Bank statements
Mikataba

Za hao wote mliowataja
 
Usidanganywe Zuchu kwa sasa ana pesa kuliko huyo mmakonde anaeishi ofisini kwake pamoja na wasanii wake. Baada ya dudu endorsement zilikimbia yupo choka mbaya anaungaunga.

Rayvanny ndio msanii mwenye pesa nyingi baada ya Mondi.
Qumaaanina.
 
Uwe unasoma comments kabla ya kukurupuka kama Kondoo,huyo niliyemquote kasema ghorofa,mimi sifuatilii na wala sijui hilo,

Kingine,yeye kua na hizo Nyumba,wewe inakusaidia nini kwenye maisha yako binafsi? Maana naona umekurupuka utafikiri wewe ndio mchepuko wake.
Haya ni makasiriko ya kupigwa na life 😂😂
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Haya ni makasiriko ya kupigwa na life 😂😂
Wewe unayefuatilia mali za wanaume wenzako ndio choka mbaya,

Mwanaume unashupaza mishipa ya shingo kusifia mali za wenzako?

Huu uchawa unawapotezea sana muda,fainali uzeeni usije ukasahau hilo Mr chawa wewe.
 
Naona watu wanajiuliza hivi kati ya hawa wawili rayvan na harmonize nani yupo juu kimafanikio au kwamana ya utajiri?

Coz namuona mwijaku leo kwenye radio kataja wasanii wanamuziki ambao ni matajiri diamond, alikiba, harmonize na jux hivi ni kweli hawa ndio wanaongoza kwa utajiri?
Na ukimchunguza mwijaku hao ni watu wake ingawa diamond hamfagiliagi so mwasemaje coz mimi binafsi naona wa kwanza ni mondi na wapili ni rayvan ingawa hapendi showoff coz juzi kanunua ghorofa tamu kinoma ila kapiga kimyaa, harafu kuna nandy yupo vizuri sana
Amka asubuhi kafanye kazi dogo. Hii ya Nani mwenye hela haitakusaidia wengine unatufanya tusipate usingizi kusubiri pakuche tukapambane na life nimalizie nyumba japo niitwe baba mwenye nyumba na wapangaji wangu
 
Rayvanny anamzidi harmonize streaming tuu, na gap sio kubwa make hata robo halifiki, vingine vyote hamzidi chochote Harmonize , ni aibu kumlinganisha Harmonize na huyo mlamba mdomo wa Wasafi....!! Kondeboy ni fighter na anaswaga tofaut na huyo lipstick
 
Back
Top Bottom