Kama kanunua ghorofa na akapiga kimya,wewe umeijuaje hiyo habari?Naona watu wanajiuliza hivi kati ya hawa wawili rayvan na harmonize nani yupo juu kimafanikio au kwamana ya utajiri?
Coz namuona mwijaku leo kwenye radio kataja wasanii wanamuziki ambao ni matajiri diamond, alikiba, harmonize na jux hivi ni kweli hawa ndio wanaongoza kwa utajiri?
Na ukimchunguza mwijaku hao ni watu wake ingawa diamond hamfagiliagi so mwasemaje coz mimi binafsi naona wa kwanza ni mondi na wapili ni rayvan ingawa hapendi showoff coz juzi kanunua ghorofa tamu kinoma ila kapiga kimyaa, harafu kuna nandy yupo vizuri sana
Swali la msingi sana, akikujibu nitag ..Kama kanunua ghorofa na akapiga kimya,wewe umeijuaje hiyo habari?
Sio ghorofa Rayvanny ana kasri.Kama kanunua ghorofa na akapiga kimya,wewe umeijuaje hiyo habari?
Uwe unasoma comments kabla ya kukurupuka kama Kondoo,huyo niliyemquote kasema ghorofa,mimi sifuatilii na wala sijui hilo,Sio ghorofa Rayvanny ana kasri.
Pia anazo nyumba kama mbili zingine za kutisha.
Hata wanawake mkitusua tutawadiscus.Kwaiyo Mna discuss pesa za wanaume
Qumaaanina.Usidanganywe Zuchu kwa sasa ana pesa kuliko huyo mmakonde anaeishi ofisini kwake pamoja na wasanii wake. Baada ya dudu endorsement zilikimbia yupo choka mbaya anaungaunga.
Rayvanny ndio msanii mwenye pesa nyingi baada ya Mondi.
Haya ni makasiriko ya kupigwa na life ππUwe unasoma comments kabla ya kukurupuka kama Kondoo,huyo niliyemquote kasema ghorofa,mimi sifuatilii na wala sijui hilo,
Kingine,yeye kua na hizo Nyumba,wewe inakusaidia nini kwenye maisha yako binafsi? Maana naona umekurupuka utafikiri wewe ndio mchepuko wake.
Wewe unayefuatilia mali za wanaume wenzako ndio choka mbaya,Haya ni makasiriko ya kupigwa na life ππ
Amka asubuhi kafanye kazi dogo. Hii ya Nani mwenye hela haitakusaidia wengine unatufanya tusipate usingizi kusubiri pakuche tukapambane na life nimalizie nyumba japo niitwe baba mwenye nyumba na wapangaji wanguNaona watu wanajiuliza hivi kati ya hawa wawili rayvan na harmonize nani yupo juu kimafanikio au kwamana ya utajiri?
Coz namuona mwijaku leo kwenye radio kataja wasanii wanamuziki ambao ni matajiri diamond, alikiba, harmonize na jux hivi ni kweli hawa ndio wanaongoza kwa utajiri?
Na ukimchunguza mwijaku hao ni watu wake ingawa diamond hamfagiliagi so mwasemaje coz mimi binafsi naona wa kwanza ni mondi na wapili ni rayvan ingawa hapendi showoff coz juzi kanunua ghorofa tamu kinoma ila kapiga kimyaa, harafu kuna nandy yupo vizuri sana
Kama kanunua ghorofa na akapiga kimya,wewe umeijuaje hiyo habari?
Kwaiyo Mna discuss pesa za wanaume
Mbn wanasema Mama ake anauza mboga mbogaSio ghorofa Rayvanny ana kasri.
Pia anazo nyumba kama mbili zingine za kutisha.