Rayvanny vs Harmonize

Wewe unayefuatilia mali za wanaume wenzako ndio choka mbaya,

Mwanaume unashupaza mishipa ya shingo kusifia mali za wenzako?

Huu uchawa unawapotezea sana muda,fainali uzeeni usije ukasahau hilo Mr chawa wewe.
Pesa za watu ndio zinazokupa wewe maumivu. Umeishia kuwa na roho mbaya na watu kama wewe wanakufaga makapuku.
 
Pesa za watu ndio zinazokupa wewe maumivu. Umeishia kuwa na roho mbaya na watu kama wewe wanakufaga makapuku.
Chawa mpiga zumari endelea kusifia wanaume wenzako,nyie machawa ndio hua machoka mbaya,unapata hela kwa kujikomba kwa mtu!! Unakaza tako kubishana na watu JF kisa kujikomba kwa mwanaume mwenzio!

Rudi kwenu shamba kama mji umekushinda Mr Chawa.
 
Pesa za watu ndio zinazokupa wewe maumivu. Umeishia kuwa na roho mbaya na watu kama wewe wanakufaga makapuku.
Mr Chawa una info kama zote eeeh! Unapata wapi huo muda wa kufuatilia maisha ya wanaume wenzio?
 
Mwijaku sasa mtu anayemchukia namba moja ni Rayvanny kwa sababu ya 'zima taa' saga lakini kiukweli dogo yuko vizuri na mambo yake anayafanya kimya kimya sana, mpaka sasa anapiga parapata kuwa Kajala na Konde wanarudiana. Probably it's his wish, sasa fikiria anavyojua kuwa kuachana kwao kumesababishwa na Rayvanny anasahau kuwa aliyetuma utupu wake ndiyo primary source ya timbwili lote.
 
Picha...ziko wapi??? Nataka picha za
kadi za gari
Hati za nyumba
Bank statements
Mikataba

Za hao wote mliowataja
Pamoja na kutovijua sana hivi vitu jengo alilionyesha mtandaoni I'm not sure where ila kuna You Tubers walilirusha hewani, it's like alikuwa anauliza aliite either Chui house and some other names. So kwa hilo moja lilionekana sana You Tube sasa hayo mengine labda waulizwe wenye Instagram accounts.
It's an amazing villa for sure.
 
Usidanganywe Zuchu kwa sasa ana pesa kuliko huyo mmakonde anaeishi ofisini kwake pamoja na wasanii wake. Baada ya dudu endorsement zilikimbia yupo choka mbaya anaungaunga.

Rayvanny ndio msanii mwenye pesa nyingi baada ya Mondi.
Ila harmonize anajua sana mziki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…