Rayvany alivyotumia uchawi kwenye show ya Fiesta Sumbawanga

Rayvany alivyotumia uchawi kwenye show ya Fiesta Sumbawanga

Chachasteven

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2014
Posts
1,941
Reaction score
2,044
Cheki hapa Rayvanny alivyotumia uchawi kwenye shoo yake ya Fiesta Sumbawanga.

mwambieni muziki siyo kuja na picha picha au kuja na mavitu ka.a wazee wa kiasili hapa mwambieni aoneshe kipaji kwenye uimbaji Kama kwel anataka ashindana na soko la muziki hapa bongo.
na dhahani Kama wapo wanaomshauri hivi basi Kuna nafasi kubwa naona analelekea bongo muvi ubunifu zerrooooo
....
na tuliwambia alikua anabebwa na lion ona Sasa hashitui Tena ndo basi Tena chuo anakwenda kuwa paka nyauuuu
 
Mkuu, somewhere in your heart, you hate this guy. Naturally tu. Kweli si kweli?
 
Hate is real na katika matamanio yake ni kwamba dogo afeli, uchawi si mpaka kuwanga uchi usiku kwani hata hiyo post uliyoi-quote ni aina mojawapo ya uchawi.
Kweli, bro. Nadhani ifike wakati tujifunze Ku appreciated Sana'a ya mtu. Akili nyinga sana inatumika mpaka kuona kazi zinatoka hivi. Halafu baadae mtu anakujaga kuchukulia poa. Inauma!
 
Kweli, bro. Nadhani ifike wakati tujifunze Ku appreciated Sana'a ya mtu. Akili nyinga sana inatumika mpaka kuona kazi zinatoka hivi. Halafu baadae mtu anakujaga kuchukulia poa. Inauma!
Haters huwa hata uwe creative kiasi gani wao watatafuta namna kuchomeka negativity zao, normally watu ambao huwa wako frustrated na hali zao huwa na chuki kwa watu wenye careers.
Madogo wanatoka kwenye very humble backgrounds lakini wanapambana na through wao kuna wengine pia wanapata vipato lakini out of nowhere one irrelevant goon is hating for no good reason, roho za kichawi wengine ni za kurithi kutoka kwenye familia zao hivyo hauwezi kuwabadilisha.
 
Show mbovu,mikelele na kurukaruka,kuwalazimisha mashabiki wanyooshe mikono,

Mara ashuke stejini/apande hovyoooooo

Nilimkubali marioo na jay melody tu.
 
Ukiwa Roma ishi kama Waroma, sasa yupo Sumbawanga unategemea nini?
 
Back
Top Bottom