Rayvany hauna Mke hapa

Wife wangu huyu hapa na namruhusu avae anavyotaka. Na ana heshima by far kuliko mademu wangu wanaovaa madera au magauni ya kwaya
 
Hawa watu wameanza date hata kabla rayvanny hajawa rayvanny hata kabla wewe hujamfahamu


Weweee usidanganye umma wameanza kudate baada ya vanny kuwa maarufu kabla ya hapo fahma alikua mdangaji na lynn na amina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…