Rayvany na Diamond wimbo wa Mwanza uko chini ya kiwango, BASATA kazi kwenu

Rayvany na Diamond wimbo wa Mwanza uko chini ya kiwango, BASATA kazi kwenu

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Rayvany ametoa wimbo mpya akishirikiana na diamond unaoitwa Mwanza
Bill Shaka Hawa ni vijana wenye uwezo mkubwa wa kuimba lakini za kushangaza wametoa wimbo mbovu Sana kulinganisha na uwezo.
Kwenye kiitikio wametumia eneo ya nyegezi lakini wameimba kwa kulikata na kutumia neno nyege kwa kurudia rudia hi Haina tofauti na nyimbo ya ney wa mitego iliyofungiwa na BASATA iliyokuwa inaitwa MAKUZI lakini Ney alilikata na kurudiarudi neno MAKU na BASATA kutafsiri Kama matusi
Nategemea BASATA kuifungia nyimbo hii pia labda Kama wanamuogoma Diamond
Pili beat ya nyimbo hii linafanana na beat ya nyimbo ya makulusa alioimba Rayvany na dj maphorisa
WCB naona ubunifu umeanza kupunga nyimbo nyingi maneno yanajirudia jirudia
 
music wa sasa wa tz. ili uweze kuhit lazima uchagize mashairi ya matusi ndani yake ... fuatilia hilo utaliona wana music wa tz wamegundua kuwa jamii yetu inapenda sana ngono ndio maana wameamua kusafiria nyota hiyo

hebu sikiliza hizi nyimbo
Kibamia -rostam

unanifanya ni cum - weusi

iokote - maua sama


aibu - nandy


Jibebe - wcb

katika - navy Kenzo ft diamond

kwangwalu - hamo ft diamond ..

nakuna nyingine nyingi tu ambazo mashairi yake ya humo ndani. haya wezi kukushawishi uisikilize hiyo nyimbo mbele ya mzazi /wakwe / au watu unaowaheshimu
 
Nakuona kibaraka wa mawingu unavyoneng'eneka kuwashawishi basata wafungie wimbo wa wanaume wenzio
Tatizo lenu mkimpenda mtu hata akikosea unaona sawa tu
Hivi mwanaume kweli lijali umekaa na familia alafu nyimbo inapiga inaimba nyege ngeye wewe unakenua tu unaona sawa? Mkuu wakati Mungu anagawa utashi wewe ulikuwa wapi?
Kuhusu clouds Mimi Wala sio shabiki wao
 
Niko Next Door Arena .
Nyege nyegezi linapigwaa hapa kila mtuu kadata full vurugu .
Shikamoo WCB ingawaa mimi ni team kariakoo Yooooooo
 
Back
Top Bottom