Rayvany na Diamond wimbo wa Mwanza uko chini ya kiwango, BASATA kazi kwenu

Bonge la nyimboo...

Tunataka nyimbo za kujirusha sio mapambio
 
nyimbo inapiga au wimbo unapigwa unajinadi una utashi wakati hata kuandika hujui? Acha dharau bwana mdogo usijifanye una uelewa sana wakati hata hatujuani tunabishana nyuma ya keyboard lazima utambue hilo,,kama ww kweli una utashi huwezi ukakaa na familia yako alafu unaweka chanel za nyimbo za maudhui hayo..ukijiona unasikiliza nyimbo za maudhui hayo na familia yako inabidi ukajipime akili inabidi watu mubadilike mkubali kuwa kuna mambo ya kusikiliza watoto na kuna mambo ya kusikiliza watu wazima sio kila kitu ni mnatumana kufungia
 
Mkuu hivi unajielewa kweli? Unadhani muda wote mzazi Yuko nyumbani kubadilisha channel? Mtoto anaenda shule anapanda daladala hizi nyimbo zinapigwa, anaenda dukani hizi nyimbo zinapigwa, anapita mitaani nyimbo hizi zinapigwa,
Mkuu jaribu kuruhusu ubongo wako ufanye kazi yake
Unakuwa Kama jiwe hapendi kukosolewa
 
Nilishasema humu hawa vijana wanaimba sana matusi,sasa sijui ndo fasheni au vipi??
Ukisikiliza series ya nyimbo zao nyingi, zimejaa maneno yanayoashiria na kuhamasisha ngono zaidi, nahisi washabiki wao wanazipenda sana, so kama sio mshabiki wao hazikuhusu.
 
Ukisikiliza series ya nyimbo zao nyingi, zimejaa maneno yanayoashiria na kuhamasisha ngono zaidi, nahisi washabiki wao wanazipenda sana, so kama sio mshabiki wao hazikuhusu.
Kwahiyo ni sawa msanii ndani ya Tanzania hii kuimba matusi as long as mashabiki wanazipenda??...una akili kweli??
 
Katika post zote sijaona unapewa like Yani ujajishitukia tu,maana unaongea pumba tu
 
Kwahiyo ni sawa msanii ndani ya Tanzania hii kuimba matusi as long as mashabiki wanazipenda??...una akili kweli??
Sijasema ni sawa, wala mimi binafsi sifurahishwi nazo, ila ukweli ni kwamba sehemu kubwa ya jamii yetu inafurahia nyimbo hizo na ina-reflect uhalisia wa jinsi jamii ilivyopoteza maadili, otherwise wasinge endelea kuimba hivyo, na si Diamond tu na vijana wake, ila wasanii wengi sasa mashairi ya nyimbo zao yamejaa matusi.
 
Wewe ndo umetafsiri hivyo,kwanza unajua maana ya nyege?
Unauliza swali la kitoto Sana mkuu, ukiwa Kama mtu mzima huwezi shindwa just maana ya nyege
Unachofanya wewe ni kukwepesha kosa lililofanyika kwenye huu wimbo, ukweli Hauna tabia ya kupinda
 
Ukisikiliza series ya nyimbo zao nyingi, zimejaa maneno yanayoashiria na kuhamasisha ngono zaidi, nahisi washabiki wao wanazipenda sana, so kama sio mshabiki wao hazikuhusu.
Ingekuwa hivo amber rutty asingeshtakiwa maana kitendo alichofanya kina wapenzi wake pia
Hivi mnatumiaga Nini kufikiri?
 
kumbe ww una ubishi wa kwenye kahawa haya endelea kubishana maana inaonekana hujua maana ya option ya parental control waliyowawekea kwenye visimbusi vyenu...elimu elimu elimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…