Rayvany na Diamond wimbo wa Mwanza uko chini ya kiwango, BASATA kazi kwenu

Nipo na Shem wenu chumbani hapa namsikia tu kila wakat anasema "nyege nyege" ngoja nimalizie dona langu anieleze vizur.
 
Nani nimshushie Mwanza Nyegezi? wewe ndio unaweza Tafsiri tusi au sio tusi ila wimbo huu na mazingiraa hayo matusi unatengeza ww? Au tukushushe Mwanza Nyegezi
 
Upuuzi wanaoimba hao wanaojiita Wasafi siku hizi hauvumiliki,kama wamechoka kuimba waendelee kuuza karanga....Angalau Harmonize na Lavalava wanajitahidi ukiondoa nyimbo chache....hao waliobaki ni ngono ngono ngono....upuuzi mtupu
Na huu wimbo wa minyege nyege haumalizi hata wiki mtaani utakuwa kapuni.
 
hii kitu watu huwa hawaioni nadhan ndo inaharibu jamii kuliko hata hzo nyimboView attachment VID-20181111-WA0002.mp4
 
Hapo kwenye 'nyege..nyegezi' hapajakaa sawa in my opinion, otherwise it's a banger.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…