DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Hujawai, hatujawai na nani?Simu gani mbona hatujawahi ziona wala kusikia
Simu nyingi tu zinazalishwa kibaha under licence!Aache Uchawa
Simu gani hioSimu nyingi tu zinazalishwa kibaha under licence!
Hata tv & fridge zinazalishwa kibaha mkuu,ninayotumia ni mali ya kibaha,tz.
Kwa msiofahamu mali nyingi hutoka kibaha na somewhere bunju kuja kariakoo!
Underlicensed smart mobile (siwezi taja hapa) amini ni brand 3,common sana nchini.Simu gani hio
Simu zipi hizoSimu nyingi tu zinazalishwa kibaha under licence!
Hata tv & fridge zinazalishwa kibaha mkuu,ninayotumia ni mali ya kibaha,tz.
Kwa msiofahamu mali nyingi hutoka kibaha na somewhere bunju kuja kariakoo!
Hili ni jema sana hata viatu pia na simple shoes pia!
Duniani kote ni assembly tu hata samsung....ni assembly most japo kuna vifaa vyao wanatengenezaTunafanya tu assembly au tunatengeneza kabisa brand yetu. Kiwanda kinachozalisha hizo simu kinaitwaje? Na hizo simu zenyewe zinaitwaje? Bei yake ikoje?
View attachment 3425946