John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,374
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Hapi ameliagiza Jeshi la Polisi mkoani humo kuwasaka na kuwakamata watu zaidi ya 100 ambao wanadaiwa kupotea na kutowasilisha fedha benki zilizokusanywa kupitia Mashine za Kukusanyia Mapato (POS) kwa Halmashauri ya Bunda, Tarime Mji pamoja na Butiama.
Source: Dar Mpya
Source: Dar Mpya