John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,374
Kwa kuwa DC, DAS DED, MP, Diwani wanatoka chadema so ndio we kisoda? Akili ya maviBunda na Tarime ni ngome za Chadema!
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 . Nchi yetu kwa maigizo naivulia kofia. Haya tutafika tu. Wanaotakiwa kusakwa nao wanatangaza msako!Mkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Hapi ameliagiza Jeshi la Polisi mkoani humo kuwasaka na kuwakamata watu zaidi ya 100 ambao wanadaiwa kupotea na kutowasilisha fedha benki zilizokusanywa kupitia Mashine za Kukusanyia Mapato (POS) kwa Halmashauri ya Bunda, Tarime Mji pamoja na Butiama.
View attachment 2140901
Source: Dar Mpya
Huyu ile dhambi ya kuwatusi akina Kikwete na Kinana inamtesa sana!Mkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Hapi ameliagiza Jeshi la Polisi mkoani humo kuwasaka na kuwakamata watu zaidi ya 100 ambao wanadaiwa kupotea na kutowasilisha fedha benki zilizokusanywa kupitia Mashine za Kukusanyia Mapato (POS) kwa Halmashauri ya Bunda, Tarime Mji pamoja na Butiama.
View attachment 2140901
Source: Dar Mpya
Huyu RC si ilionekanaga hela za ujenzi wa shule na madawati za UVICO-19 ilipigwa hadi Rais SSH alitoa red light? Mbona hagusii hiyo, badala yake anakimbizana Na malipo ushuru wa shilingi mia mia?Bunda na Tarime ni ngome za Chadema!