RC Ayoub Mohamed akemea tabia ya vijana wa Beach ya Kusini Unguja kuiba wake wa Watalii

RC Ayoub Mohamed akemea tabia ya vijana wa Beach ya Kusini Unguja kuiba wake wa Watalii

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Ayoub Mohammed Mahamoud amekasirishwa na kukemea tabia zilizokithiri kwenye fukwe za Bahari za Zanzibar kwa baadhi ya Ma- Beach Boys kuwalaghai Wake wa Watalii wanaoingia Zanzibar na kuanzisha nao uhusiano na hata kuwasababisha kuvunja ndoa zao jambo ambalo limekuwa likikasirisha Watalii.

RC Ayoub ameyasema hayo leo August 15,2024 kwenye semina ya Waongoza Watalii na Beach Boys kuelekea Kizimkazi Festival katika Mkoa wa Kusini ambapo amesema kuna changamoto ambazo zimekuwa zikisababishwa na Watu wasiofuata utaratibu na kwamba matatizo yanayojitokeza kwa Beach Boys yatakomeshwa.

"Wale ambao bado wataendelea kukaidi utaratibu uliotolewa hapo sasa hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao, hatutomvumilia yule atakayedhoofisha uchumi wetu kwa kuleta utalii usiofata utaratibu, Watanzania tunaowaita Beach Boys wamekuwa na tabia ya kunyang’anya wake wa Watalii jambo ambalo linapelekea Watalii kuichukia Nchi yetu na ndio maana nimelikemea hilo ili wale ambao wenye tabia hizo tutawaondoa kwasababu watakuwa wamekosa vigezo katika Mkoa wetu.

”Kwa mujibu wa taarifa zisizo rasmi kutoka Zanzibar inadaiwa kuwa Watalii wanaamini kuna Watu hutumia hadi dawa za asili za mvuto kuwashawishi Wake zao kuchepuka na baadaye huachana na Wanaume zao na kubaki na Vijana wa Kitanzania.

Chanzo: Millard Ayo

Sijaona hapa Kosa la hawa Beach Boys sana sana Mamlaka ingekuwa na Akili ingewapongeza kwa Kupiga Miti vizuri Watalii wa Kike wa Kigeni huko Zanzibar kwani kwa kufanya hivi kutafanya hawa Watalii wa Kike wanaopigwa Miti Kunakotukuka wawahdithie Wenzao huko Ulaya na Wao kuanza Kufurika Kisiwani Zanzibar kuongeza Mapato kwa Kipengele Kipya cha Utalii wa Kupiga Miti ya uhakika Watalii wa Kigeni wa Kike ( Sex Tourism ) wajao Visiwani.

Na msichokijua ni kwamba 50% ya Mapato ya Utalii ya nchi ya Gambia yanatokana na Wazungu wengi wa Kike kwenda huko Kulala ( Kukazwa au Kupigwa Miti ) na Wanaume wa Gambia ambao kwa Utafit wa hivi karibuni unasema ndiyo Taifa lenye Wanaume wenye Mikuyenge / Mikurudungu / Uume / Mibolo mkubwa kuliko Wanaume wote duniani.

Wikiendi ndiyo imeshaanza hivyo ngoja sasa nami Mtalii Kivuli huku niliko nipige Miti ili vyema niitangaze nchi yangu.
 
Na msichokijua ni kwamba 50% ya Mapato ya Utalii ya nchi ya Gambia yanatokana na Wazungu wengi wa Kike kwenda huko Kulala na Wanaume wa Gambia ambao kwa Utafit wa hivi karibuni unasema ndiyo Taifa lenye Wanaume wenye Mikuyenge mkubwa kuliko Wanaume wote duniani.
Mkuu Gentamycine, hebu extend research yako ifike hadi South Sudan, naona ilifanyika wakati wa machafuko ya kivita watafiti wako walishindwa kwenda huko. Sasa wanaweza kwenda
 
Mkuu Gentamycine, hebu extend research yako ifike hadi South Sudan, naona ilifanyika wakati wa machafuko ya kivita watafiti wako walishindwa kwenda huko. Sasa wanaweza kwenda
Umenifanya nicheke sana Mkuu. Kwahiyo kumbe Wanaume wa Sudan Kusini hawana Mpinzani wa kuwa na Mibolo mikubwa duniani?
 
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Ayoub Mohammed Mahamoud amekasirishwa na kukemea tabia zilizokithiri kwenye fukwe za Bahari za Zanzibar kwa baadhi ya Ma- Beach Boys kuwalaghai Wake wa Watalii wanaoingia Zanzibar na kuanzisha nao uhusiano na hata kuwasababisha kuvunja ndoa zao jambo ambalo limekuwa likikasirisha Watalii.
Wanaolaghaiwa hapa ni vijana wa Zanzibar, kwa sababu hao wanawake watalii wanakuja wakijua wanakuja kuwarubuni hao vijana wafanye nao ngono, na pesa za kufanyia hivyo wanakuwa wameandaa. Huo sio uhusiano, ni biashara ya ngono.

Kama Mkuu wa Mkoa Kusini Unguja ana hasira azielekeze kwa hao wanawake wazungu, ambao wakirudi kwao wanawasimulia wenzao "I found my gigolo in Zanzibar!"
 
Ila kwa upande mwingine, hii inaweza kusababissha watalii wa kike kuongezeka zaidi..
Ndiyo maana nimewaunga mkono hao Beach Boys wa Zanzibar kuwa Mamlaka ziwaache waendelee Kuwakaza hao Wazungu wa Kike ili Utalii Ngono uongozeke na Kisiwa kipate / nchi ipate Mapato na hata Ajira za Kupiga Pumbu Kunakotuka kwa Kulipwa Madola zitaongezeka na Umasikini kupungua.
 
Gambia vibibi kizee vya kizungu vimejaa vikila starehe na vijana wadogo.

Hii ilifanyika hadi documentary, wanawake wazee wenye pesa wanasafiri toka Ulaya kutafuta kuzagamuliwa Africa.

Vijana wengi wamefunga na ndoa na hao wazungu wazee.

Inawezekana hata kwenye utumwa na ukoloni huko Ulaya na US vijana weusi sehemu zingine walitumika kama watumwa wa kingono.
 
Kama amabvyo wanaume weusi wana fantasy ya kutafuna wanawake weupe basi na wanawaks weupe kisirisiri nao huwa wana fantasy hizo za kutafunwa na wanaume weusi hasa huku Afrika ambako jua ni kali,kazi ni ngumu na vijana ni weusi tii huku wakiwa na uchache wa vibamia.

Nadhani hili suala ni mtambuka haswa na lawama zisielekezwe kwa vijana wa zanzibar kana kwamba watalii ni maroboti kwamba hawajui nini wanafanya.
 
Back
Top Bottom