RC Chalamila ajiachia kwa kucheza singeli mbele ya Waziri Mkuu Majaliwa

RC Chalamila ajiachia kwa kucheza singeli mbele ya Waziri Mkuu Majaliwa

Sema unajua nmekua nkiona struggling za huo mziki mpaka sasa ikifika miaka ya uchaguz kila muomba kura lazima aruke nazo

Kwenye hii dunia pambania tu BILA KUCHOKA
 
Namshauri Chalamila aaache siasa arudi kwenye muziki wa aslili aliuokuwa anafanya awali maana yupo vizuri kwenye kuimba na kucheza muziki kuliko kwenye siasa.
 
 
Back
Top Bottom