RC Chalamila akitoa Mawaidha kwa Wakristu

RC Chalamila akitoa Mawaidha kwa Wakristu

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Msikilize Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila akitoa mawaidha wa Wakristu.

 
Kwa kikubwa kuangalia ujumbe ni nini na siyo ametoa nani
 
Dr. Sebi kaa hapo hapo , subiri OMO foam yako iko njiani
 
Kwa kikubwa kuangalia ujumbe ni nini na siyo ametoa nani
sometimes mtoa ujumbe matters a lot. Kuna watu wana dini inclination katika doings zao zote. Huyu huwezi kumtenganisha ujumbe wake na dini yake. Akina Zito ni wakosoaji wazuri sana, lakini Samia hawamkosoi maana ni wa dini yao. Ukweli huo najua utaupinga.......
 
Waislam hawadhalilishi maiti.
Hindu hawadhalilishi maiti.
Wakrstu wanaipenda maiti izikwe chumbani au sebureni kama vipi
 
sometimes mtoa ujumba maaters a lot. Kuna watu wana dini inclination katika doings zao zote. Huyu huwezi kumtenganisha ujumbe wake na dini yake. Akina Zito ni wakosoaji wazuri sana, lakini Samia hawamkosoi maana ni wa dini yao. Ukweli huo najua utaupinga.......
Nenda kapige mswaki wewe domo lako linanuka sana,wewe sio wadini yako kakuzuiya nani kumkosoa?
 
Back
Top Bottom