sometimes mtoa ujumba maaters a lot. Kuna watu wana dini inclination katika doings zao zote. Huyu huwezi kumtenganisha ujumbe wake na dini yake. Akina Zito ni wakosoaji wazuri sana, lakini Samia hawamkosoi maana ni wa dini yao. Ukweli huo najua utaupinga.......