Chief Sanze
JF-Expert Member
- Jun 13, 2014
- 1,668
- 3,736
Tunza ujumbe wangu for referenceWewe Kama nani?? Kama unajiamini SEMA lisipo toka upigwe LIFE BAN?!
Wakati mwingine siasa ni ngumu!!hapa mzee umeshalikologaMkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila amewataka wananchi wa mkoa huo kuacha kuingiza siasa katika mambo yanayowahusu binafsi hasa katika Afya kwani hazitawasaidia badala yake zitawachelewesha na pia kuwa na madhara zaidi.
Akizungumza hivi karibuni na wanachi wa Temeke jijini Dar Es Salaam, Chalamila aliwaambia kuna vifaa vya hospitali inapowalazimu wanunue kwani sio wakati wote hospitali zitakuwa na vifaa kamili.
Pia soma:Kauli tata za RC Chalamila kwenye matamko mbalimbali nchini
Albert Chalamila, akiwa Mkuu wa Mkoa katika mikoa tofauti, alijipatia umaarufu kutokana na kauli zake tata na zingine ambazo mara nyingi ziliwaacha watu hoi. Akiwa katika Mkoa wa Mbeya, aliwahi kusikika akitoa agizo la kuchapa viboko wanafunzi walioteketeza mabweni, jambo lililozua mjadala...www.jamiiforums.com
Chalamila alimuelezea mama mmoja mjamzito aliyempigia simu akilalamika kuambiwa na Daktari atoe shilingi elfu 50,000/= ili inunulie vifaa vya kumsaidia kujifungua ikiwemo gloves ambapo Chalamila alimwambia asitoe fedha aende nyumbani akajifungue.
==================================================
Mwenye direct connection amfikishie mama SSH ujumbe huu, atuondolee huyu MTU hapa dsm, ampeleke Rauha akalinde wanyama, hafai kuwa kiongozi
Chalamila ni chaguo la Saa100🙃Duuh haya sio maneno ya kiongozi
Huyu Bia za Moto zimemdhuru mno!Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila amewataka wananchi wa mkoa huo kuacha kuingiza siasa katika mambo yanayowahusu binafsi hasa katika Afya kwani hazitawasaidia badala yake zitawachelewesha na pia kuwa na madhara zaidi.
Akizungumza hivi karibuni na wanachi wa Temeke jijini Dar Es Salaam, Chalamila aliwaambia kuna vifaa vya hospitali inapowalazimu wanunue kwani sio wakati wote hospitali zitakuwa na vifaa kamili.
Pia soma:Kauli tata za RC Chalamila kwenye matamko mbalimbali nchini
Albert Chalamila, akiwa Mkuu wa Mkoa katika mikoa tofauti, alijipatia umaarufu kutokana na kauli zake tata na zingine ambazo mara nyingi ziliwaacha watu hoi. Akiwa katika Mkoa wa Mbeya, aliwahi kusikika akitoa agizo la kuchapa viboko wanafunzi walioteketeza mabweni, jambo lililozua mjadala...www.jamiiforums.com
Chalamila alimuelezea mama mmoja mjamzito aliyempigia simu akilalamika kuambiwa na Daktari atoe shilingi elfu 50,000/= ili inunulie vifaa vya kumsaidia kujifungua ikiwemo gloves ambapo Chalamila alimwambia asitoe fedha aende nyumbani akajifungue.
==================================================
Mwenye direct connection amfikishie mama SSH ujumbe huu, atuondolee huyu MTU hapa dsm, ampeleke Rauha akalinde wanyama, hafai kuwa kiongozi
Hiyu ni kiongoz huwa anaangalia kauli zake ? Mamlaka za uteuzi huwa mna double standards. Nn hiki?
Uchoyo wake wa kujieleza na kufafanua mambo ipasavyo vitamua gusha awamu hii, ukali katika ulimi yafaa kujipanga, sio mbaya ila si vemaMkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila amewataka wananchi wa mkoa huo kuacha kuingiza siasa katika mambo yanayowahusu binafsi hasa katika Afya kwani hazitawasaidia badala yake zitawachelewesha na pia kuwa na madhara zaidi.
Akizungumza hivi karibuni na wanachi wa Temeke jijini Dar Es Salaam, Chalamila aliwaambia kuna vifaa vya hospitali inapowalazimu wanunue kwani sio wakati wote hospitali zitakuwa na vifaa kamili.
Pia soma:Kauli tata za RC Chalamila kwenye matamko mbalimbali nchini
Albert Chalamila, akiwa Mkuu wa Mkoa katika mikoa tofauti, alijipatia umaarufu kutokana na kauli zake tata na zingine ambazo mara nyingi ziliwaacha watu hoi. Akiwa katika Mkoa wa Mbeya, aliwahi kusikika akitoa agizo la kuchapa viboko wanafunzi walioteketeza mabweni, jambo lililozua mjadala...www.jamiiforums.com
Chalamila alimuelezea mama mmoja mjamzito aliyempigia simu akilalamika kuambiwa na Daktari atoe shilingi elfu 50,000/= ili inunulie vifaa vya kumsaidia kujifungua ikiwemo gloves ambapo Chalamila alimwambia asitoe fedha aende nyumbani akajifungue.
==================================================
Mwenye direct connection amfikishie mama SSH ujumbe huu, atuondolee huyu MTU hapa dsm, ampeleke Rauha akalinde wanyama, hafai kuwa kiongozi
Au ni kutokana na kutumia bangi kama mboga?Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila amewataka wananchi wa mkoa huo kuacha kuingiza siasa katika mambo yanayowahusu binafsi hasa katika Afya kwani hazitawasaidia badala yake zitawachelewesha na pia kuwa na madhara zaidi.