Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kuna mtu alisema kuasi dini ni rahisi sana ili kutumikia pesaRC Chalamila kwenye Uzinduzi wa Kanisa la Mwamposa amesema; Mwaka jana Askofu Maboya alipendekeza awe Shemasi wa moja ya Kanisa la Mwamposa
Nafikiri ushemasi ni wakatoliki tu, kumbe kwa Mwamposa nao wapo!