Waufukweni JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 5,383 Reaction score 18,776 Sep 15, 2025 #1 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, amefika kwenye soko la Kawe ambalo limeteketea kwa moto jana usiku na kuahidi kuwapa wafanyabiashara Shilingi Mil. 100 kama sehemu ya kufidia sehemu ya hasara waliyoopata Your browser is not able to display this video.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, amefika kwenye soko la Kawe ambalo limeteketea kwa moto jana usiku na kuahidi kuwapa wafanyabiashara Shilingi Mil. 100 kama sehemu ya kufidia sehemu ya hasara waliyoopata Your browser is not able to display this video.
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 35,566 Reaction score 104,386 Sep 15, 2025 #2 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam imetoa kiasi cha Shillingi Million 100 kuwasaidia Wafanyabiashara wa Kawe baada ya Maafa ya Moto.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam imetoa kiasi cha Shillingi Million 100 kuwasaidia Wafanyabiashara wa Kawe baada ya Maafa ya Moto.