RC Chalamila awa kama Gachagua wa Kenya, aongea kwa upole na Wamachinga wa Simu 2000 na kutuliza mgomo na kuwataka Meya na DC wawe wasikivu kwa Jami

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Baada ya Wafanyabiashara wa Simu 2000 kumfukuza mkuu wa wilaya ya Ubungo hatimaye Mkuu wa mkoa mh Albert Chalamila alifika eneo hilo na kufanikiwa kuwatuliza Wamachinga

Chalamila ameahidi kuzifanyia Kazi changamoto zote na atawaletea majawabu Jumamosi

RC Chalamila amewashukuru Wamachinga kwa ustaarabu wao wa kutochoma matairi wala kubomoa Nyumba za Watu kama wale akina naniliu

Baadae Mlale Unono 😀

PIA SOMA
- Machinga wa Soko la Simu2000, Dar es Salaam wagoma na kufunga barabara asubuhi ya leo, Julai 8, 2024
 
Baada ya Wafanyabiashara wa Simu 2000 kumfukuza mkuu wa wilaya ya Ubungo hatimaye Mkuu wa mkoa mh Albert Chalamila alifika eneo hilo na kufanikiwa kuwatuliza Wamachinga...
Ccm wana vituko sana.

Yaani huanzisha mgogoro na kuji fanya wana utatua. Askofu Bagonza alisema Ccm ina cheza na akili za Watanzania
 
Baada ya Wafanyabiashara wa Simu 2000 kumfukuza mkuu wa wilaya ya Ubungo hatimaye Mkuu wa mkoa mh Albert Chalamila alifika eneo hilo na kufanikiwa kuwatuliza Wamachinga

Chalamila ameahidi kuzifanyia Kazi changamoto zote na atawaletea majawabu Jumamosi

RC Chalamila amewashukuru Wamachinga kwa ustaarabu wao wa kutochoma matairi wala kubomoa Nyumba za Watu kama wale akina naniliu

Baadae Mlale Unono 😀
Video please
 
Baada ya Wafanyabiashara wa Simu 2000 kumfukuza mkuu wa wilaya ya Ubungo hatimaye Mkuu wa mkoa mh Albert Chalamila alifika eneo hilo na kufanikiwa kuwatuliza Wamachinga

Chalamila ameahidi kuzifanyia Kazi changamoto zote na atawaletea majawabu Jumamosi

RC Chalamila amewashukuru Wamachinga kwa ustaarabu wao wa kutochoma matairi wala kubomoa Nyumba za Watu kama wale akina naniliu

Baadae Mlale Unono 😀

PIA SOMA
- Machinga wa Soko la Simu2000, Dar es Salaam wagoma na kufunga barabara asubuhi ya leo, Julai 8, 2024
Huyo ni nyoka akiona watu wamebadilika anazamisha kichwa kama kobe lakini anasumu kama swila.

Kwanza hajawapoza machinga kwa lolote amedai suala liloibuka halijafika mezani kwake likifika kutoka kwa kamati ya halmshauri na wilaya atawasikiliza kisha ataambatana nao kuja eneo la tukio ili walichomsimulia mpango wao wawaeleze iwamachinga wenyewe wakati yeye akishuhudia!!!!

Kero hizi ambazo watawala wanatengeneza zinaweza kuwagharimu vibaya.
 
Back
Top Bottom