johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ccm wana vituko sana.Baada ya Wafanyabiashara wa Simu 2000 kumfukuza mkuu wa wilaya ya Ubungo hatimaye Mkuu wa mkoa mh Albert Chalamila alifika eneo hilo na kufanikiwa kuwatuliza Wamachinga...
Video pleaseBaada ya Wafanyabiashara wa Simu 2000 kumfukuza mkuu wa wilaya ya Ubungo hatimaye Mkuu wa mkoa mh Albert Chalamila alifika eneo hilo na kufanikiwa kuwatuliza Wamachinga
Chalamila ameahidi kuzifanyia Kazi changamoto zote na atawaletea majawabu Jumamosi
RC Chalamila amewashukuru Wamachinga kwa ustaarabu wao wa kutochoma matairi wala kubomoa Nyumba za Watu kama wale akina naniliu
Baadae Mlale Unono π
Dah machinga wanasumbuliwa sana
Huyo ni nyoka akiona watu wamebadilika anazamisha kichwa kama kobe lakini anasumu kama swila.Baada ya Wafanyabiashara wa Simu 2000 kumfukuza mkuu wa wilaya ya Ubungo hatimaye Mkuu wa mkoa mh Albert Chalamila alifika eneo hilo na kufanikiwa kuwatuliza Wamachinga
Chalamila ameahidi kuzifanyia Kazi changamoto zote na atawaletea majawabu Jumamosi
RC Chalamila amewashukuru Wamachinga kwa ustaarabu wao wa kutochoma matairi wala kubomoa Nyumba za Watu kama wale akina naniliu
Baadae Mlale Unono π
PIA SOMA
- Machinga wa Soko la Simu2000, Dar es Salaam wagoma na kufunga barabara asubuhi ya leo, Julai 8, 2024