Pre GE2025 RC Chalamila: DSM Kufanya Mazoezi ya Usafi kila Wiki, Mwanasiasa atakayewakwamisha atashughulikiwa kwa speed ya Ambulance!

Pre GE2025 RC Chalamila: DSM Kufanya Mazoezi ya Usafi kila Wiki, Mwanasiasa atakayewakwamisha atashughulikiwa kwa speed ya Ambulance!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mkuu wa mkoa wa DSM mh Albert Chalamila amewataka Wakuu wa Wilaya zote 5 kipanga ratiba ya Zoezi la Usafi kila Wiki Ili kupambana na maradhi ya maambukizi

Chalamila amesema amesikia kuna baadhi ya Wanasiasa Wanataka kukwamisha Zoezi la Usafi hivyo amewataka Watendaji wawaripoti haraka ofisini kwake

" Nileteeni Majina yao nitawashughulikia ndani ya dakika 5 tena kwa speed ya Ambulance" amesisitiza Dr Chalamila PhD

Source: Upendo TV
 
Na isipofanya usafi , ataonekana ni kiongozi Tahira .

Mimi nadhani Kuna haja ya Somo la Dini kua la lazima .

Haya ni matokeo ya kuzalisha Viongozi ambao maandiko matakatifu yamewapita kushoto.

Aina hii hii ya watu ndio watu ambao wanaweza kutunga SHERIA Kwa ajili tu ya Tundu Lissu, akili hii hii ndio inaenda mpaka kwenye Mahakama na Majaji wanatoka Hukumu za kishenzi na kujifanya wanasahaubya kwamba Hukumu zao zitstumika kama Rejea kutoa hali Mahali fulani!!.

Hii ndio Tanzania !!
 
Watoto wa Lissu na Mbowe wanakula starehe Marekani, Uingereza na Canada, halafu watoto wetu anawapeleka wakale rungu na risasi
 
Mtu kama John Mrema anayetangaza matangazo ya uhaini, ile kipara yake ikichapwa rungu ya mninga, nundu yake haifikii pembe ya faru
 
Mtu kama John Mrema anayetangaza matangazo ya uhaini, ile kipara yake ikichapwa rungu ya mninga, nundu yake haifikii pembe ya faru
Balozi.jpg
 
Watoto wa Lissu na Mbowe wanakula starehe Marekani, Uingereza na Canada, halafu watoto wetu anawapeleka wakale rungu na risasi
Wakwako unasaburia nini kuwapeleka? Unajua waliko wanafanya nini? Acheni lawama za kimaskini
 
Back
Top Bottom