johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
ππSpeed ya ambulanceππ
Hivi kweli hali zetu za maisha ndio zinatutoa ufahamu namna hii?
Afya ya akili.....Dar sio size yakeMkuu wa mkoa wa DSM mh Albert Chalamila amewataka Wakuu wa Wilaya zote 5 kipanga ratiba ya Zoezi la Usafi kila Wiki Ili kupambana na maradhi ya maambukizi...
πππSpeed ya ambulance [emoji2960]
πππ₯Mtu kama John Mrema anayetangaza matangazo ya uhaini, ile kipara yake ikichapwa rungu ya mninga, nundu yake haifikii pembe ya faru
Mtu kama John Mrema anayetangaza matangazo ya uhaini, ile kipara yake ikichapwa rungu ya mninga, nundu yake haifikii pembe ya faru
Wakwako unasaburia nini kuwapeleka? Unajua waliko wanafanya nini? Acheni lawama za kimaskiniWatoto wa Lissu na Mbowe wanakula starehe Marekani, Uingereza na Canada, halafu watoto wetu anawapeleka wakale rungu na risasi