Nimeipenda sana hii statement ya Mkuu wa Mkoa wa DSM Chalamila.
Nakubaliana naye kuwa ni kweli kabisa haiwezekani kwa watendaji wote mkawa wapole lazima wengine wapo ni wakali kwa asili yao, na huo ukali wao ni faida kubwa kwenye kuharakisha maendeleo.
ukali ni muhimu sana, bila ukali wabongo watalwapua kila kitu.
sasa tizama Mapato yote ya soko la mabibo zaidi ya bilioni 1 yalikuwa yanatafunwa na watu wachache.
viongozi walikuwepo!t hadi leo hii Chalamila anakuja ndio anabaini upigaji!!
ukali ni muhimu sana kwenye mambo ya msingi.
Msikilize hapa: