Santo sana kwa mwongozo lo!RC hajui vile watu walivyokua wanarudishwa walipotoka au warudi majumbani na wengine kuambiwa washuke kwenye boda boda haziruhusiwi watembee...
Anazungumzia theory, ila practical haikua hivyo...
AnajitahidiMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amezungumza na Global TV na kuelezea hali ya ulinzi na usalama ilivyo jijini Dar es Salaam, amesema "Hatukusema Wananchi wakae ndani"