Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Huyo alietoa hilo tangazo hana hio exposure. Hajui hizo bins ni special kwa magari ya taka maalum likija bin linapachikwa na kuinuliwa automatically kumwaga taka kwenye gari linalosaga taka. Na lazima uweke mfuko mgumu mweusi kwa usafi zaidi.Inabidi wafanye mpango wa dustbin kuuzwa rafiki,nq usafi wa kutumia dustbin kuna mifuko ya nylon special kwa kuwekea taka inabidi wairuhusu
Shida magari ya taka hayapiti. Hizo dustbin zikijaa ni changamoto tuHuyo alietoa hilo tangazo hana hio exposure. Hajui hizo bins ni special kwa magari ya taka maalum likija bin linapachikwa na kuinuliwa automatically kumwaga taka kwenye gari linalosaga taka. Na lazima uweke mfuko mgumu mweusi kwa usafi zaidi.
Anaongea tu bila kujua qnaongea nini.Shida magari ya taka hayapiti. Hizo dustbin zikijaa ni changamoto tu