johnmashilatu
JF-Expert Member
- Sep 16, 2010
- 841
- 909
Ndio kwa utashi wangu nimeamua kumpuuza RC huyu wa Dar baada ya kujiridhisha kuwa hastahili nafasi hiyo. ni kubwa sana kwake, ajaribu shughuli nyingine
Sina uhakika kama mwamba huyu anayafahamu au amezingatia kuwatumia wanajeshi 8000 kufanya usafi Jan 23 na 24. Kwa sababu:-
1. Wanajeshi 8000 ni sawa na Brigedi moja na batalion tatu.
2.Brigedi yenye askari 5000 huongozwa na Brigedia Jenerali huku batalioni ikiongozwa na Luteni Kanali.
3. Utahitaji mabasi 123 kuwasafirisha watu 8000.
4. Utahitaji angalau milioni 80 kwa siku kuwapatia chai na chakula cha mchana wapiganaji hao ( 10000 kwa kila mmoja).
5. Hapa hatujaweka gharama za mafuta, posho nk.
6. Hawa wanajeshi huwa hawana majukumu huko kambini kiasi wanasubiri matukio kama haya?
Huyu RC amefikiri sawasawa kuwa Brigedia anaweza kusimamia usafi?
Na je, gharama husika zitatoka kwebye fungu gani?