DOKEZO RC Chalamila, nimepita mataa ya city mall karibu na soko la Kisutu, kinyesi kinatiririka barabarani. Tutegemee kipindupindu soon

DOKEZO RC Chalamila, nimepita mataa ya city mall karibu na soko la Kisutu, kinyesi kinatiririka barabarani. Tutegemee kipindupindu soon

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Viongozi wa jiji la DAR tunafahamu mnatembelea magari yenye tinted. Lakini watu wa Dar nao kila kitu kwao poa tu.
Mimi nitoe wito kwenu watu wa dar hasa watumiaji wa soko la Kisutu kwamba siyo vyema kukalia uchafu. MNAUZA vyakula wakati huo mnaona kabisa bomba la maji machafu limepasuka na barabara imejaa kinyesi. Watu wa afya mnaona haya na Tanroads mnaona kilichotokea ila mpo kimya.

Mnasubiri kiongozi gani aje kuchukua tahadhari? Mnasubiri mlipuko wa magonjwa? Mkuu wa Mkoa fika eneo husika ujionee ila pia tunaweza kuwaomba waandishi wa habari wakachukue video warushe uone ukiwa hata ofisini kwako.

Hali hiyo ipo pia Tazara kuelekea Kariakoo, maji machafu yamejaa barabarani no one cares . Tumeona kinachotokea huku Mwanza nisingependa kuone kinatokea DAR coz population huko ni kubwa zaidi.
 
Dar ni chafu kila eneo.
Maji taka yanatirirka ovyo.

Uchafu umefungwa kwenye viroba umerundikwa kando ya mitaa kila pembe.

Masoko ni machafu.
Mkuu wa mkoa anapiga siasa za uchawa tu.
 
Back
Top Bottom