RC Chalamila: Ombaomba wa Dar waondolewe

RC Chalamila: Ombaomba wa Dar waondolewe

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Akifanya mahojiano na East Africa Radio Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-salaam Albert Chalamila amesema;

"Kuna watu wana zagaa zagaa kwenye Tanzanite bridge, kamateni watu wote wanaokaa kwenye maeneo na walemavu kuombaomba, tumegundua ule ni mtaji wa watu ambao jioni wanakusanya mapato wanawapa kidogo wale walemavu.

"Kwahiyo walemavu wote wanaombaomba waondolewe mabarabarani kwani Rais ametoa hela kwa ajili ya nyumba za walemavu kwahiyo watakaoendelea kuwepo wakamatwe." - Albert Chalamila - Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Source - EARADIO

chala.jpeg
 
Mkoa wa dar una matatizo na changamoto nyingi sana zinahitaji ufumbuzi
Shida yetu sio machangudoa Wala ombaomba
 
Swali ni Je Akishindwa huku nako bado aendelee kuaminiwa ?

Screenshot_2024-01-15-14-50-57-1.png


Angalizo : Si kila mtu anaweza kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam
 
"Wale ambao sio walemavu, wanao waendesha walemavu ndio wakamatwe" au mimi nimesikia vibaya.
 
Back
Top Bottom