Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
RC Chalamila amesema wameaswa na rais Samia kuwa na uongozi mzuri usiokuwa wa kibabe.
Amesema yeye ameshaacha ubabe. Chalamila ameyasema hayo kwenye kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari yanayofanyika Mlimani City ambapo mgeni rasmi ni Rais Samia.
Chalamila amesema hadi sasa barabara nyingi zinajenga ili mkoa wa Dar es Salaam ujitofautishe.
Chalamila amesema kwa sasa anaandika Kitabu kinachoitwa Nguvu ya Ucheshi, Utani na Misimbo katika uongozi.