johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mkuu wa Mkoa wa DSM Mh Albert Chalamila amesema Watu Wengi Walitaka mtume Mwamposa aondolewe pale Kawe
"Lakini Rais Samia alinituma nipeleke sadaka yake Kwa Mtume Mwamposa na kuniagiza nimwambie aendelee kubakia hapo Kawe na kuwaponya Watanzania, hivyo tuzidi kumuombea Ili asije kutokea Rais mwingine asiyemjua Mungu wa Mbinguni na kulitesa Kanisa" amefafanua RC Chalamila
Chalamila amesema Yeye mwenyewe alipata uteuzi Muda mfupi baada ya Kutoka kuombewa na Mtume Mwamposa " niliombewa jioni na usiku nikasikia nimeteuliwa kuwa Mkuu wa mkoa wa Kagera"
Source: Arise and Shine TV
Nawatakieni Dominica njema 🌹