johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Pamoja na yanga/simba na wasaniiMkuu wa Mkoa wa DSM Mh Albert Chalamila amesema Watu Wengi Walitaka mtume Mwamposa aondolewe pale Kawe
"Lakini Rais Samia alinituma nipeleke sadaka yake Kwa Mtume Mwamposa na kuniagiza nimwambie aendelee kubakia hapo Kawe na kuwaponya Watanzania, hivyo tuzidi kumuombea Ili asije kutokea Rais mwingine asiyemjua Mungu wa Mbinguni na kulitesa Kanisa" amefafanua RC Chalamila
Chalamila amesema Yeye mwenyewe alipata uteuzi Muda mfupi baada ya Kutoka kuombewa na Mtume Mwamposa " niliombewa jioni na usiku nikasikia nimeteuliwa kuwa Mkuu wa mkoa wa Kagera"
Source: Arise and Shine TV
Nawatakieni Dominica njema 🌹
Daaah tutafanyaje hawa ndo viongozi wetuMkuu wa Mkoa wa DSM Mh Albert Chalamila amesema Watu Wengi Walitaka mtume Mwamposa aondolewe pale Kawe
"Lakini Rais Samia alinituma nipeleke sadaka yake Kwa Mtume Mwamposa na kuniagiza nimwambie aendelee kubakia hapo Kawe na kuwaponya Watanzania, hivyo tuzidi kumuombea Ili asije kutokea Rais mwingine asiyemjua Mungu wa Mbinguni na kulitesa Kanisa" amefafanua RC Chalamila
Chalamila amesema Yeye mwenyewe alipata uteuzi Muda mfupi baada ya Kutoka kuombewa na Mtume Mwamposa " niliombewa jioni na usiku nikasikia nimeteuliwa kuwa Mkuu wa mkoa wa Kagera"
Source: Arise and Shine TV
Nawatakieni Dominica njema 🌹
Samia muislam inawezekana kamsingizia tuKIZAZI YA WAJINGA
Dini kweli tumeletewa lakini huyu Chalamila ni mkuu wa mkoa mbona kazidisha ujinga sana !!!hii sio kawaidaMkuu wa Mkoa wa DSM Mh Albert Chalamila amesema Watu Wengi Walitaka mtume Mwamposa aondolewe pale Kawe